Admin

Polisi yakamata toy zinazotumika kufanyia uhalifu

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imemkamata Hassan Yahya ‘Kobra’ na wenzake watatu wakiwa na toy ambazo wanazitumia kama silaha katika kufanya uhalifu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 7,2024, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amezitaja toy hizo huwa ni…

Read More

Sloti ya Maajabu, Fortune Farm Kasino Mtandaoni

* “Fortune Farm ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni wenye nguzo tano zilizopangwa katika safu mitatu naina njia 10 za malipo zisizobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.” MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni inakukaribisha kwenye Shamba la Furaha! Furahia wakati mzuri ambao haujawahi kuwa nao kabla. Kutana…

Read More

Refa digidigi aliyemtikisa Motsepe CAF

SIKU njema huonekana asubuhi. Hii ipo kwa refa bwa’mdogo kutoka Libya, Zakaria Ibrahim Al-Ghaithy (15) ambaye alikuwa kivutio katika fainali za Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa timu za Shule (ASFC 2024) zilizofanyika mjini Unguja, Zanzibar. Katika fainali hizo zilizomalizika mwishoni mwa mwezi uliopita, Al-Ghaithy alikuwa gumzo kutokana na uwezo wake wa kupuliza kipyenga kwa…

Read More

Wapigakura kuboresha taarifa zao Daftari la Wapiga Kura

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema mfumo wa uandikishaji wa Daftari la Wapigakura 2024  umeboreshwa ili kutoa fursa kwa mtu aliyepo katika daftari hilo kuanzisha mchakato wa kuboresha taarifa zake au kuhama kituo kwa kutumia simu au kompyuta. Imefafanua kuwa baada ya mpiga kura huyo, kukamilisha taratibu zake atalazimika kutembelea kituo…

Read More

‘Uchebe’ atua Singida Black Stars

Singida Black Stars imemtambulisha kocha wa zamani wa Simba Patrick Aussems kuwa kocha wao mpya. Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita kutoka Ofisi ya Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Jonathan Kasano,imesema Aussems atakuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia msimu ujao. Aussems, ataanza kazi rasmi Julai Mosi ambapo Sasa ataendelea na majukumu ya kukijenga kikosi…

Read More