Admin

RC Chalamila aonya wanafunzi elimu ya juu kuacha kulalamika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wanafunzi vyuo vikuu kuachana na utamaduni wa kulalamika, badala yake wawe mabalozi wazuri wa Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia ameiagiza Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HELSB) kuweka kambi katika chuo hicho ili kuwasaidia wanafunzi kufuata taratibu zote za kuomba mikopo bila kukosea ili…

Read More

Shangazi afunguka sababu ya kujiuzulu Simba SC

Mbunge wa Jimbo la Mlalo na mjumbe kamati ya bodi ya wawekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo. Shangazi amesema kuwa ameamuandikia Mohamed Dewji, barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi ya uwekezaji tangu Juni 2 mwaka huu hii ni kutokana na mwenendo…

Read More

Wafuasi ANC waandamana kupinga muungano na DA

Wafuasi wa chama cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini, wameandamana jijini Johannesburg, kushinikiza viongozi wao wakatae kuingia katika muungano na chama cha Democratic Alliance, DA. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatu hiyo inajiri baada ya chama hicho tawala cha Afrika Kusini kufungua milango ya mazungumzo kwa chama chochote kilichopata viti bungeni kwenye…

Read More

Jeshi la Sudan laapa ”kujibu vikali’ shambulizi la RSF – DW – 07.06.2024

Katika taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, kundi la wanaharakati la Karari limesema kufikia sasa, idadi ya waliofariki Omburdman inakadiriwa kuwa raia 40 na majeruhi 50 baadhi wakiwa mahututi huku likilaumu kikosi hicho cha wanamgambo wa RSF kwa mashambulizi hayo. Soma pia:Jeshi la Sudan laapa kulipiza kisasi shambulizi la RSF lililoua watu 100 Shirika hilo…

Read More

Serikali yataja ukomo wa michango kidato cha tano

Dodoma. Serikali imetoa ukomo wa michango kwa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano kuwa ni Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa.  Ukomo huo umetajwa leo Juni 7, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba bungeni…

Read More

TBS Yaadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani kwa kuendelea kusisitiza ulaji wa chakula salama kwa wananchi ili kuondokana na madhara ya kiafya na kiuchumi ikiwemo kushindwa kumudu katika biashra ya ushindani. Hayo yamebainishwa leo Juni 7, 2024 Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Ashura Katunzi wakati…

Read More

Wafungisha ndoa watakiwa kujisajili kwenye e-RITA

KABIDHI Wasii Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Frank Kanyusi amewataka wafungishaji ndoa wote nchini kujisajili kwenye mfumo wa kidijitali wa e-RITA ifikapo tarehe 10 Juni 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza Jijini Dar es Salaam jana Alhamisi Kanyusi alisema walengwa katika zoezi hilo ni wafungishaji wote kutoka dini…

Read More