Mghana Singida FG akumbushia deni lake
LICHA ya kurudi kuitumikia Singida Fountaine Gate huku akiwa ameifungulia madai kwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), nyota kiraka raia wa Ghana, Nicholas Gyan ameuomba uongozi wa timu hiyo kumlipa deni analowadai ili mambo yasiwe mengi. Gyan alirudishwa Singida baada ya FIFA, kuipa siku 45 timu hiyo kumlipa deni la ada ya usajili huku…