Admin

Viunzi vinne kocha mpya Simba SC

Simba ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Steve Komphela (56) kutoka Afrika Kusini ili arithi mikoba ya iliyoachwa na Mualgeria Abdelhack Benchikha siku chache kabla ya msimu kumalizika. Kama kila kitu kitaenda sawa basi Komphela atatambulishwa kuwa kocha mkuu wa Simba kwa msimu ujao wa 2024/2025, licha ya kwamba anapingwa na baadhi ya viongozi…

Read More

FCC KUENDELEA KUMLINDA MJALI,WAINGIA MAKUBALIANO NA CTI

  Na Mwandishi Wetu TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imesema itahakikisha inaendelea kumlinda mlaji nchini hususani bidhaa zinazotoka katika viwanda vya ndani na vile vya nje. Kauli hiyo imesemwa Juni 5,2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio wakati wa hafla maalum ya uitiwaji wa saini mashirikiano kati ya Time…

Read More

Bunge laibana Serikali magari ya zimamoto

Dodoma. Bunge limeazimia Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuweka utaratibu wa halmashauri kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kununua magari ya zimamoto, matengenezo ya magari hayo na vifaa vya zimamoto na uokoaji. Baada ya hoja kujadiliwa, Spika Dk Tulia Ackson alilihoji Bunge ambalo liliipitisha kwa asilimia 100. Azimio hilo linatokana na hoja…

Read More

Waganga wakuu wapewa maelekezo usimamizi sampuli za vipimo vya VVU

Mbeya. Waganga wakuu  wa  hospitali za mikoa  ya Mbeya, Songwe, Katavi na Rukwa  wameagizwa  kusimamia utunzaji na usafirishaji wa sampuli za maabara na  kuimarisha  afua  za  maambukizi  ya VVU katika vituo vya kutolea huduma. Hatua hiyo iende sambamba na kufanya ziara ya kukagua vituo vya afya zahanati zilizofanyiwa  ukarabati kupitia  ufadhili wa PEPFAR kama zinalingana…

Read More

BILONI 22 KUWEKA LAMI BARABARA 20 ZA MJI WA SONGEA

Na Albano Midelo,Songea HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ni miongoni mwa Halmashauri 12 nchini ambazo zimepata mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya barabara za lami nzito ili kuboresha miundombinu ya miji,manispaa ya majiji. Akitoa taarifa ya mradi huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Wakili Bashir…

Read More