Rais Samia afanya uteuzi akiigusa ofisi yake
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, huku akiigusa ofisi yake kwa kuteua watendaji wanne katika nafasi mbalimbali za uongozi. Miongoni mwa viongozi waliotoka katika ofisi ya Rais ni pamoja na Zuhura Yunus aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Felister Mdemu aliyekuwa msaidizi wa Rais, Maendeleo ya Jamii. Wengine…