Scholz aunga mkono mpango wa kuwarudisha makwao wahalifu – DW – 06.06.2024
Akilihutubia bunge la Ujerumani Bundestag mapema leo, kiongozi huyo amesema wahalifu sugu hawana nafasi ndani ya Ujerumani licha ya kupewa hifadhi nchini humo. Akilihutubia bunge mapema leo, Kansela Olaf Scholz amejikita katika masuala matatu muhimu: mpango wa kuwarudisha makwao wahamiaji wahalifu katika nchi ambazo zinatajwa kuwa sio salama, mafuriko yaliyoikumba Ujerumani hivi karibuni na uungwaji…