Wakulima kunufaika na masoko ya mazao
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) itaanza kununua mazao ya wakulima kuanzia Julai 15 hadi 20 mwaka huu katika vituo vya ununuzi ambavyo vitatangazwa hapo baadae. Mhe Bashe ameyasema hayo tarehe 5 Juni, 2024 jijini Dodoma katika Hafla ya Utiaji Saini Randama za…