Usiyoyajua ziara ya Rais Samia Korea Kusini
MWEI 31 mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na ujumbe mzito, alisafiri umbali wa kilomita 10,200 kutoka jijini Dar es Salaam hadi jiji la Seoul, Korea Kusini (Jamhuri ya Korea) katika juhudi mpya za kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na taifa hilo lililoendelea kiteknolojia la mashariki ya mbali. Anaandika Gabriel Mushi … (endelea). Kwa…