Admin

Mauaji Kanisani-4: Jaji alivyochambua ushahidi, akatamka ‘Katekista atanyogwa hadi kufa’

Njombe. Katika sehemu ya kwanza hadi ya tatu ya simulizi ya mauaji ya Katibu wa Kigango cha Makambako Parokia ya Makambano, Nickson Myamba, tumeona namna ushahidi wa Jamhuri ulivyokuwa na mshitakiwa Daniel Mwalango alivyojitetea. Katika simulizi hii ya mwisho, tunawaletea namna Jaji Kalunde aliyesikiliza kesi hiyo alivyochambua ushahidi wa pande zote mbili na kueleza kwanini…

Read More

SPOTI DOKTA: Wasiwasi unavyoathiri upigaji penalti

JUMAPILI iliyopita, Yanga ilitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho unaodhaminiwa na Benki ya CRDB kwa ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC ni baada ya suluhu katika dakika 120. Mchezo huo uliopigwa usiku kwenye Uwanja wa  New Amaan Complex, Zanzibar na maelfu ya mashabiki ikiwamo waliovuka bahari kutoka Bara kushuhudia mchezo huo uliokuwa mgumu….

Read More

Vifo ajali ya lori, Coaster Mbeya vyafikia 16

Mbeya. Idadi ya vifo katika ajali iliyotokea jana Juni 5, 2024 imeongezeka na kufikia watu 16, huku miili minane ikitambuliwa na ndugu zao na majeruhi wengine wakiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya. Ajali hiyo iliyotokea katika mteremko wa Simike, eneo la Mbembela lilihusisha lori lililofeli breki na kugonga magari mawili, ikiwamo…

Read More

Tume ya FCC na CTI zasaini hati za makubaliano

Tume ya ushindani nchini FCC na shirikisho la wenye viwanda tanzania CTI zimesaini mkataba wa mashirikiano ya namna bora ya kubadlishana taarifa hasa kwenye sheria ya ushindani ya alama za bidhaa. Makabidhiano hayo yamesainiwa jijin Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wameeleza ushirikiano huu utasaidia viwanda kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi na…

Read More

Babi: Hawa kina Saido, Pacome freshi tu

NI kweli siku hazigandi, lakini rekodi ya Abdi Kassim ‘Babi’ a.k.a Ballack wa Unguja inaendelea kuishi katika vichwa vya mashabiki wa soka nchini. Ndio. Fundi huyo wa mpira aliyekuwa mahiri kwa kufumua mashuti makali uwanjani akiwatungua makipa, anaendelea kukumbukwa kutokana na rekodi aliyoiweka ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa…

Read More

Sugu aanza kazi rasmi Nyasa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ya Chadema, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameanza kazi rasmi kwa kufungua kikao cha kanda hiyo, huku akieleza utekelezaji wa ahadi yake ya kuje ga ofisi ya kanda hiyo. Sugu alishinda uchaguzi wa kanda hiyo akimwangusha aliyekuwa Mwenyekiti wa kanda hiyo, Peter Msigwa katika uchaguzi uliofanyika Mei 30, 2024…

Read More