SERIKALI KUENDELEA NA UTEKELEZAJI GRIDI YA TAIFA YA MAJI
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amesema Serikali inaendelea na maandalizi ya utekelezaji wa Gridi ya Taifa ya Maji inayolenga kutumia vyanzo vya uhakika vya maji ikiwemo maziwa na mito. Ameyasema hayo leo April 23, 2024,jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Buhigwe Kavejuru Felix aliyeuliza Serikali ina mpango gani wa kuanzisha Mradi wa Grid…