MTU WA MPIRA: Dube mtihani mwingine huu
KUNA vitu vinakera sana. Kuna vitu vinakwaza mno. Unajiuliza mpaka sasa katika dunia ya leo bado tunaishi katika zama za kale. Ni kama hili tukio la straika wa Azam FC, Prince Dube. Ni jambo la kijinga kulizungumza katika soka la kisasa. Dube amekimbia kambini pale Azam FC baada ya kutoa barua ya kuomba kuvunjiwa mkataba…