Maonesho ya mifugo na mnada kufanyika Juni 14 -15,2024 Ubena Estate Chalinze
Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji wa Kibiashara wa Ng’ombe(TCCS)Naweed Mulla wakati akiongea na waandishi wa habari juu ya maonesho ya mifugo na mnada unaotrajia kufanyika Juni 14 -15,2024 maeneo ya Ubena Estate Chalinze. Alisema lengo la kuanzisha programu hizo ni kusaidia wakulima na wafugaji kujikwamua kiuchumi wao wenyewe na kuongeza pato la taifa kupitia ufugaji….