Admin

Narendra Modi akosa wingi wa viti bungeni – DW – 05.06.2024

Licha ya Waziri Mkuu wa IndiaNarendra Modi kushinda muhula wake wa tatu mfululizo, lakini chama chake cha BJP hakikupata wingi wa wawakilishi bungeni kama kilivyotarajia ili kukiwezesha chama hicho kuiongoza India, sasa BJP kinahitaji kutafuta washirika kutoka vyama vingine vya kisiasa ili kuunda serikali ya mseto. Chama cha Waziri Mkuu Narendra Modi, kimepoteza wingi wa…

Read More

CTI yataka sheria nzuri kuwalinda wenye viwanda

Dar es Salaam. Kuwa na sheria nzuri ya kuwalinda wafanyabishara wa viwanda, kumetajwa kuwa ni moja ya vichocheo vya kuongeza kasi ya uwekezaji katika sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Juni 5, 2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) Leodegar Tenga, wakati wa hafla ya kuingia mkataba wa ushirikiano kati…

Read More

Kikosi cha msimu cha Fei Toto; Yanga 7, Azam 3

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya kukosa mataji, ametaja kikosi bora chake cha msimu akiwajumuisha nyota saba wa Yanga, watatu wa Azam na mmoja wa KMC, ambao anaamini wakicheza mechi hakuna wa kuwazuia. Akizungumza na Mwanaspoti, Fei Toto, amesema alikuwa…

Read More

Yanga SC yapewa Tsh milioni 537.5 kwa kutwaa Ubingwa

Club ya Yanga leo imepewa Tsh milioni 537.5 na Mdhani wao wa Mkuu SportPesa kama sehemu ya zawadi (bonus) ya kufanya vizuri katika msimu wa 2023/2024. Hundi hiyo imepokelewa na Rais wa Yanga Hersi Said kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa SportPesa Abbas Tarimba, hiyo ni kama motisha kwa Yanga ya kuhakikisha wanaendelea kufanya vizuri. Yanga…

Read More

Aliyemtapeli Ridhiwani Sh4 milioni, atupwa jela miaka saba

Dar es Salaam. Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent  Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete. Chengula alijipatia fedha hizo, baada ya kujitambulisha…

Read More

Mziki wa Ouma washtua Coastal

KUONGOZA timu hadi kufanikiwa katika nchi ya kigeni si kazi rahisi kwa kocha yeyote yule. Ndio maana wakati kocha Mkenya David Ouma alipokubali ofa ya kuwa kocha mkuu wa Coastal Union ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Novemba mwaka jana, alikuwa na kibarua kikubwa cha kuondoa timu hiyo katika hatari ya kushushwa daraja. Miezi sita…

Read More