Admin

Makamba: Uwezo wa Migiro fursa kwa CCM

Dar es Salaam. Mbunge wa zamani wa Bumbuli mkoani Tanga, January Makamba amesema sifa na uwezo wa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Dk Asha Rose Migiro zitakiwezesha chama kuendesha shughuli za kila siku. Jana Jumamosi Agosti 23,2025 wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM walimthibitisha Dk Migiro kuwa katibu mkuu wa chama…

Read More

Julitha Singano wa motoo Mexico

JANA beki wa Kitanzania, Julitha Singano alikiwasha kwenye mechi ya kirafiki kati ya Mexico All Stars na Barcelona Women, mechi iliyomalizika kwa sare ya 2-2. Singano anayekipiga FC Juárez, alikuwa mmoja wa wachezaji 20 wa Ligi ya Mexico waliochaguliwa kucheza mechi hiyo dhidi ya Barcelona, ambayo imekita kambi nchini humo kwa ajili ya maandalizi ya…

Read More

Ambundo ajiandaa kurejea Dodoma Jiji

ALIYEKUWA winga wa Fountain Gate, Dickson Ambundo anakaribia kurejea tena Dodoma Jiji, licha ya awali mabosi wa Mbeya City kufanya mazungumzo na nyota huyo na suala la masilahi binafsi ndilo lilifanya pande hizo kushindwana. Ambundo aliyemaliza mkataba wake na Fountain Gate huku kukiwa hakuna mazungumzo ya kuongeza mwingine, alikuwa akiongea na Mbeya City kwa ajili…

Read More

Haya hapa yanayomsubiri Dk Migiro ofisi ya Katibu Mkuu

Dodoma/Dar. Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikimtangaza Balozi Dk Asha-Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wake mpya, wadau mbalimbali wametaja majukumu makubwa yanayomsubiri kiongozi huyo, likiwamo la kuirejesha imani ya chama hicho kwa wanachama na wananchi wasio wanachama. Miongoni mwa mambo yanayobainishwa kama kibarua kikubwa kwa Dk Migiro ni namna ya kwenda sambamba na kasi ya…

Read More

CHAN 2024: Kocha Senegal afichua siri ya ushindi

KOCHA wa Senegal, Souleymane Diallo ameeleza maandalizi ya kisaikolojia kwa wachezaji wake na umakini katika utumiaji nafasi vilikuwa nguzo kuu ya ushindi wa timu yake dhidi ya Uganda katika mechi ya robo fainali ya mashindano ya CHAN 2024. Senegal ambao ni mabingwa watetezi wa mashindano hayo, walihitimisha safari ya timu ya mwisho ya ukanda wa…

Read More

Mavunde ataka viongozi waombewe | Mwananchi

Dodoma. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. ‎Uchaguzi mkuu wa kuwapata Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. ‎Mavunde ametoa kauli hiyo leo Jumapili Agosti 24, 2025 jijini Dodoma kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Petro (St….

Read More