WAZIRI JAFO AKAGUA MABANDA YA MAONESHO SIKU YA MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa wadau wa nishati safi ikiwemo ya gesi kupanua wigo wa utoaji wa huduma hiyo ili kila moja amudu kutumia. Ametoa wito huo wakati akitembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika…