Spika Tulia aagiza kamati iwaite, kuwahoji wakurugenzi NSSF, PSSSF
Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameielekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya wanufaika kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili wapatiwe mafao yao. Dk Tulia ametoa agizo hilo jana bungeni jijini…