Watu laki 6 na kaya zaidi ya elfu 10 zimekwisha toa maoni ya muelekeo wa Dira ya maendeleo ya mwaka 2050
Tume ya Mipango nchini imesema hadi sasa zaidi ya wananchi laki sita na na kaya zaidi elfu kumi zimesha toa maoni ya muelekeo wa Dira ya maendeleo ya mwaka 2050 huku rasimu ya Kwanza ya dira ya maendeleo ikitegemewa kukamilika novemba mwaka huu. Akizungumza juu ya kongamano la kitaifa la utoaji maoni litakalo fanyika chuo…