Rais Samia asisitiza uwekezaji, ajenda ya nishati safi
Seoul. Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa ushirikiano na uwekezaji kwenye ajenda ya nishati safi ya kupikia huku akimtaka Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol kuungana na mataifa ya Afrika katika ajenda hiyo. Rais Samia amebainisha hayo leo Juni 4, 2024 jijini Seoul, Korea Kusini wakati wa mkutano kati ya Korea na…