Sasa wanaume kuwasindikiza wanawake leba Tanzania – DW – 04.06.2024
Mwenza huwa na sehemu maalumu ya kukaa huku amevaa vifaa maalumu vya kufatilia mapigo ya moyo ya mama na kushuhudia mchakato mzima wa kujifungua. Hospitali hiyo inasema uzinduzi wa wodi hizo unafuatia utafiti uliofanywa unaoonesha kuwa wanawake wanaojifungua huku wakiwa karibu na wenza wao huwa salama zaidi. Maboresho yaliyofanywa katika wodi hiyo ya wazazi yanazingatia mfumo wa…