Utamu, utata Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24
MSIMU wa 69 wa soka la Tanzania umekamilika kwa fainali ya Kombe la Shirikisho kufanyika visiwani Zanzibar na Yanga SC kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 6-5 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya 0-0. Yanga ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu, wamefanikiwa kutetea mataji haya kwa msimu wa tatu mfululizo. Walishinda…