Admin

Uchaguzi Afrika Kusini waiweka ANC njiapanda

Johannesburg. Uchaguzi wa Afrika Kusini ukiwa umekamilika baada ya kuchagua wabunge 400, kwa mara ya kwanza katika miaka 30 ya utawala wa kidemokrasia, hakijapatikana chama kinachoweza kuunda Serikali pake yake. Mtihani mgumu upo kwa Chama tawala cha African National Congress (ANC) kilichopata asilimia asilimia 40.18, baada ya kunyakua viti 159 katika Bunge la Taifa, kwa…

Read More

BRELA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUJISAJILI ILI KUCHANGAMKIA FURSA KIBIASHARA

Afisa Sheria za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (Brela) Lupakisyo Mwambiga wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonyesho ya 11 ya Biashara na Utalii yanayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga. Na Oscar Assenga,TANGAWAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA) umewataka wafanyabiashara kuchangamkia fursa ya kujisajili…

Read More

Maelfu wahamishwa kusini mwa Ujerumani kufuatia mafuriko – DW – 03.06.2024

Tahadhari hiyo imetolewa wakati maelfu ya watu wakihamishwa na wengine wakilazimika kuyaacha makaazi yao baada ya kutokea mafuriko makubwa mwishoni mwa juma.  Maafisa wa uokoaji wanaendelea na zoezi la kuwahamisha watu kutoka maeneo yaliyokumbwa na mafuriko katika eneo hilo la kusini mwa Ujerumani huku Kansela Olaf Scholz akieleza kuwa, mafuriko hayo yanapaswa kuchukuliwa kama tahadhari….

Read More

Kesi ya wanandoa kujeruhi jirani yapigwa kalenda tena

SHAHIDI wa upande wa mashitaka Kiran Lalit Ratilal, ameshindwa kutoa ushahidi katika kesi  ya kujeruhi inayowaabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54), kwa sababu wakili wa utetezi katika kesi hiyo yupo Mahakama ya Rufani kwenye shauri lingine. Anaripoti  Mwandishi Wetu ….(endelea) Wanandoa hao ambao ni raia wa Tanzania wenye asili ya kihindi wanaoishi…

Read More

Wagonjwa 36,404 wafikiwa na kambi ya madaktari bobezi

Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema wagonjwa 36,404 kutoka mikoa 14 wamefikiwa katika huduma za matibabu kutoka kwa madaktari bingwa na bobezi, wanaozunguka wilaya mbalimbali  nchini. Kambi hiyo iliyozinduliwa rasmi Mei 6 2024  na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imewafikia wagonjwa hao kwa kipindi cha siku 25 hadi kufikia Mei 31 2024 na kumekuwa…

Read More