Wazazi watakiwa kuongeza umakini katika malezi ya watoto kipindi hiki cha likizo
Mkuu wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo amefanya kikao maalumu chenye lengo mahusisi la kutoa ujumbe kwa wazazi na walezi wa wilaya ya Iringa kuhusu malezi katika kipindi hiki ambacho Wanafunzi wameanza likizo. Akizungumza katika kikao hicho Komred Kheri James ameeleza kuwa kutokana na ukweli kuwa jamii inakabiliwa na changamoto nyingi za…