PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 3,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 3,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 3,2024 Featured • Magazeti About the author
Mwanza. Jumla ya wafugaji wadogo 69,062 kutoka maeneo mbalimbali nchini, wamenufaika na mradi shirikishi wa wasindikaji na wazalishaji wa maziwa (TI3P) uliozinduliwa Machi 2022.Mradi huo wa miaka minne unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Mfuko wa Bill and Melinda Gates na kutekelezwa na Heifer International, Land O’Lakes Venture 37,…
HAKUNA kukaa! Hiyo imewakuta makocha wa Azam FC, Youssouph Dabo na Miguel Gamondi wa Yanga, katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) uliozikutanisha timu hizo na kumaliza dakika 90 bila milango kufunguka kwa kutoka suluhu. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, Zanzibar, makocha hao waliamua kuviacha viti vyao na…
Arusha. Wananchi wameendelea kung’ang’ania kipengele cha kupunguza madaraka ya Rais kiwekwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ikiwemo uwezo wa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri. Wakitaka nafasi hizo ziombwe na wasomi waliopo nchini kupitia ofisi ya Tamisemi. Mbali na hilo, wamesema kuwa Rais aondolewe uwezo wa nafasi 10 za kuteua wabunge, Katibu wa…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali, Tarime Group lenye wanachama 200, ambalo lipo eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha Dkt Nchimbi amewasili Arusha, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake kwenye mikoa mitano, ya Singida, Manyara,…
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu amewataka wananchi kutokubali wagombea wao kuenguliwa kirahisi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Amesema wananchi kama kujifunza walishapata somo zuri kwenye uchaguzi uliopita wa ngazi hiyo uliofanyika mwaka 2019, ambapo amedai kuwa walienguliwa wagombea wote…
Kampuni ya Compact Energies Limited inayohusika na uzalishaji wa umeme Jua imeshinda tuzo ya makampuni makubwa barani Afrika katika utoaji wa huduma wa sekta ya Nishati katika vipengele vitatu vya, Uhandisi, Manunuzi na Matengeneyo ya Umeme Jua (Engineering, Procurement and Construction Solar Energy Company of the year 2024 in Large Size Category). Tuzo hizo zinazojulikana…
Dar es Salaam. Siku nne baada ya Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutangaza kutogombea tena nafasi hiyo, baadhi ya makada wamejitokeza na kutangaza nia ya kurithi mikoba yake. Baadhi ya makada hao ambao Mwananchi iliwahi kuwatafuta Aprili mwaka huu, kujua kama wangegombea lakini wakasita kutoa jibu la moja kwa…
BAADA ya kudumu kwa msimu mmoja hatimaye kiungo mshambuliaji wa Yanga Princess, Kaeda Wilson anarudi nchini Marekani lakini akiwa na kumbukumbu ya kufunga mabao kwenye mechi za dabi. Kiungo huyo ataondoka nchini mwezi huu kuendelea na masomo kwenye Chuo cha UTAH kilichopo nchini kwao baada ya kucheza Yanga msimu mmoja. Mchezaji huyo hadi raundi ya…
Dodoma. Ili kulinda afya ya akili watu wametakiwa kuishi kwenye kiwango cha maisha wanayoyamudu na kuachana na maisha ya gharama kubwa, ambayo yanawaingiza kwenye madeni wasiyoweza kuyalipa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Juni 02, 2024 na daktari bingwa wa magonjwa na afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Dk Godwin…