RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA KOREA MHE. YOON SUK YEOL, IKULU SEOUL NCHINI HUMO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali tarehe 02 Juni, 2024. Rais wa Jamhuri ya…