Simba SC yaingilia dili la winga Yanga
MABOSI wa Simba wajanja sana. Kwa sasa wameamua kufanya mambo yao kimyakimya katika kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ili kurudisha heshima mjini na hivi unavyosoma Mwanaspoti wanafanya mazungumzo na mawinga wawili wa maana wa DR Congo, akiwamo anayewaniwa na Yanga. Mwanaspoti limepenyezewa taarifa kwamba, pale DR Congo Simba imefanya mazungumzo na winga …