Mizozo ya Ukraine na Gaza yatawala Jukwaa la Shangri-La – DW – 01.06.2024
Mkutano huo wa kila mwaka unaojulikana kama Jukwaa la Majadiliano ya Usalama la Shangri-Launafanyika kwenye mji mkuu wa Singapore, Singapore City. Mwaka huu majadiliano yametawaliwa zaidi na mzozo wa Gaza, vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi pamoja na suala la usalama kwenye kanda ya Bahari ya Hindi na Pasifiki. Mapema leo asubuhi Rais Mteule…