Dk Mpango apokewa na harufu soko la Ilala, atoa wiki kwa wahusika
Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, ametoa maelekezo kuhakikisha kwamba tatizo la majitaka yanayotiririka na kutoa harufu kali katika soko la Ilala jijini Dar es Salaam linamalizwa ndani ya siku ya saba. Agizo hilo la Dk Mpango limekuja aliposhiriki usafi wa kila Jumamosi katika soko hilo ambapo amewataka viongozi husika kufanya kazi…