Admin

Azam, Yanga zajifua chini ya ulinzi mkali

KATIKA kuhakikisha kila mmoja anafanya mambo kwa ufanisi ili kubeba ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) kwa tahadhari kubwa ya mpinzani wake asiibe mbinu, timu za Yanga na Azam zimechukua uamuzi wa kufanya mazoezi zikiwa chini ya ulinzi mkali. Hilo limejiri katika maandalizi ya timu hizo yanayoendelea visiwani Zanzibar kuelekea mchezo wa fainali…

Read More

Diarra apewa kifaa cha kumzuia Fei Toto, Sopu

UNGUJA. Yanga inafanya mambo kama ipo Ulaya vile. Leo hii imewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutambulisha kifaa kipya cha mazoezi kwa makipa wao wakiongozwa na kipa namba moja, Djigui Diarra. Awali, Yanga ilitambulisha vifaa tofauti mazoezini ikiwemo ‘ball launcher’ ambacho kinatumika kama mbadala wa wachezaji kuwapigia makipa mashuti langoni. Kikosi hicho kinajiandaa na mchezo…

Read More

Yanga, Azam acha kipigwe fainali Shirikisho

MWISHO wa ubishi. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Azam FC na Yanga zitakapovaana katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Unguja Zanzibar, ikiwa ni mara ya kwanza kwa pambano la michuano hiyo kupigwa huko. Timu hizo zinakutana katika fainali hiyo ya tisa…

Read More

Andaeni suti mapema fainali Azam, Yanga

Baada ya kushuhudia Yanga ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara na sasa macho ya wapenda soka yapo visiwani Zanzibar kwenye fainali za Kombe la Shirikisho. Yanga ilitinga fainali baada ya kuichapa Ihefu bao 1-0 likifungwa na kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz KI katika dakika ya 100 huku Azam ikiingia hatua hiyo baada ya kuitandika Coastal Union…

Read More

betPawa yafanya hamshahamsha ya mashabiki wa Mwanza kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Yamwaga jezi kwa timu mbalimbali

 Na Mwandishi wetu Mwanza. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya soka na hamsha hamsha ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kati ya Borussia Dortmund na Real Madrid itakayofanyika Jumamosi, Juni 1, 2024. Tukio hilo…

Read More

Kodi mafuta ya kula ya nje kupanda 2024/25

Singida. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali inatarajia kuongeza kodi kwenye mafuta ya kula yanayotoka nje ya nchi katika bajeti ya mwaka 2024/25, ili kuwalinda wakulima wa alizeti. Pia, inakwenda kujenga soko kubwa na la kisasa la vitunguu mkoani Singida, na ujenzi wa mradi mkubwa wa umwagiliaji mkoani humo wenye thamani ya zaidi ya…

Read More