Wawili wakamatwa kwa tuhuma za mauaji, dawa za kulevya
Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watu wawili kwa tuhuma za usafirishaji wa dawa za kulevya na mauaji. Wawili hao ni dereva bajaji, Peter Mwacha (18) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha ambaye amekamatwa akituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kilogramu 98.55, huku Ramadhani Yahaya (28) maarufu Msambaa akituhumiwa kwa mauaji. Taarifa…