Admin

Yanga yamvutia waya Baleke | Mwanaspoti

KUNA usajili wa kushtua unaoweza kujitokeza kwenye dirisha lijalo la usajili wa Ligi Kuu Bara. Jean Baleke kwenda Yanga. Mkongomani huyo ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Al-Ittihad ya Libya, aling’ara na Simba na kutema kwenye dirisha dogo huku mashabiki wakijiuliza bado ni nini kimetokea. Endapo kama dili la Baleke likiti, basi straika wao Joseph…

Read More

Bunge lapitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi asilimia100.

Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Jana Mei 29,2024 Waziri Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliwasilisha makadirio ya bajeti ya kiasi hicho kwa…

Read More

Nafanya masters kwa kutumia kipaji pekee

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo (CCM) ameishukuru Serikali kwa kurejesha utaratibu wa kutambua maarifa yaliyopatikana nje ya mfumo rasmi wa elimu (Recognition of Prior Learning) kwani yeye ni tunda la mmoja wa Watanzania walioendelea na masomo ya elimu ya juu kwa kutumia kipaji pekee. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). “Shukrani kubwa kwa serikali kwa sababu…

Read More

ANC yaanza kupoteza nguvu zake matokeo ya awali

Johannesburg. Wakati kura zinaendelea kuhesabiwa katika uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yakiendelea kutolewa, matokeo ya awali yanaonyesha kuwa chama tawala cha ANC huenda kikapoteza nguvu zake. Endapo hilo litatokea, ANC italazimika kufanya makubaliano na vyama vingine ili kuunda serikali ya pamoja. Uchaguzi wa washirika wa muungano utategemea umbali wao kutoka alama ya asilimia 50. Iwapo…

Read More

Wanafunzi wa TIA Watoa Kongole Kwa Usimamizi wa Bunifu Kutoka Chuo

Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Klaivet Steven akizungumza kuhusiana na ubunifu wake wa kusaidia mtu kupata makazi ya kupanga katika mikoa yote nchini.Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Paul Reuben  akizungumza kuhusiana na ubunifu zao la Korosho mteja kupata korosha moja kwa moja kutoka kwa katika mfumo.Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika Banda la…

Read More

Crystal Palace wanakaribia kukamilisha dili la kumsajili Daichi Kamada kama mchezaji huru.

Crystal Palace, chini ya usimamizi wa Oliver Glasner, wanaripotiwa kufuatilia kwa karibu hali kuhusu mazungumzo ya mkataba wa Daichi Kamada na Lazio. Kamada, ambaye aliwasili Lazio msimu uliopita wa joto kutoka Eintracht Frankfurt, anatafuta kandarasi mpya yenye kipengele cha chini cha kuachiliwa. Kiungo huyo amekubali kusaini mkataba wa nyongeza na Lazio lakini anashinikiza kujumuishwa kwa…

Read More