Vijana Wawekewa Mazingira ya Fursa ya Ajira ya Fani ya Mechatronics-Mwalim u VETA Kipawa
Mwalimu wa VETA Kipawa Ricky Sambo akizungumza na Wanafunzi wa Sekondari Waliotembelea Banda la VETA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga. Baadhi ya wananchi wakiwa katika Banda la VETA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu,Ubunifu na Ujuzi. Na Chalila Kibuda,Michuzi TV MWALIMU VETA Kipawa…