Admin

Msigwa afunguka baada ya kuangushwa na Sugu

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amempongea Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kichaguliwa kurithi mikoba yake, katika uchaguzi uliofanyika Jana tarehe 29 Mei 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza baada ya matokeo hayo kutangazwa jana Jumatano, Msigwa amesema siasa ni mchezo wa kuingia na kutoka…

Read More

Chalamila agusia Katiba mpya, wadau wamjibu

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametaja mambo matatu anayotamani yangepewa kipaumbele kwenye Katiba mpya ikiwamo wasomi wanaomaliza vyuo bila kuwa na ajira kwa muda mrefu walipwe mshahara nusu hadi pale watakapopata ajira rasmi. Vipaumbele vingine ni wanafunzi wote wa vyuo vikuu wapewe mikopo na kusamehewa gharama za matibabu…

Read More

WANAOSHIRIKI UMISETA SAME WATAKIWA KUZINGATA NIDHAMU

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro KATIBU Tawala wa wilaya ya Same, Upendo Wella nidhamu ni jambo la msingi katika michezo, hivyo amewaombe wanafunzi ambao wanakwenda kushiriki mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Sekondari Tanzania(UMISETA) kuheshimu kila mtu. Ameyasema hayo hayo alipomwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Same Kaslida Mgeni kwenye kuhitimisha Umoja wa Michezo…

Read More

Ishu ya Hamisa Mobetto, Azizi Ki iko hivi

MWANAMITINDO na mwanamuziki, Hamisa Mobetto amefafanua kuhusu ukaribu wake na mchezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na kuzungumzia pia uvumi kwamba ana uhusiano na kigogo wa soka ambaye yupo karibu na mshindi huyo wa tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara 2023-24. Akizungumza na Mwanaspoti, Hamisa Mobetto amesema hana uhusiano na kigogo yeyote wa…

Read More

Arsenal kumska Youssouf Fofana wa Monaco.

Youssouf Fofana (25) amebakiza mwaka mmoja pekee kwenye mkataba wake na AS Monaco. Kwa sasa, hakuna mazungumzo ya kufanya upya na kama Mkurugenzi Mtendaji wa klabu ya Principality Thiago Scuro alivyofichua mapema mwezi huu, mlango uko wazi kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa kuondoka msimu huu wa joto. “Pengine ni mmoja wa wachezaji ambao…

Read More

Mume alia kunyimwa unyumba kwa miaka tisa

Mbarali. “Ni kama picha ya kuigiza kumbe kweli nimepitia vipindi vigumu katika maisha  ya mahusiano,  nimeambulia vipigo manyanyaso, kunyimwa unyumba na hata kutelekezewa familia.” Ni kauli ya Elia John (48) mkazi wa Igurusi wilayani Mbalari Mkoa wa Mbeya ambaye amedai kupitia visa na mikasa kutokana na mwenza wake kumsaliti kwa miaka tisa baada ya kumfungulia…

Read More

Samatta kustaafu Stars, baba akata mzizi wa fitina

BAADA ya kuwepo kwa tetesi za nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta, kuandika barua ya kustaafu kuitumikia timu hiyo, baba wa supastaa huyo ameibuka na kutolea ufafanuzi. Mzee Ally Pazi Samatta amesema ingawa hakuzungumza na mwanaye, alizisikia taarifa hizo kwa watu wake wa karibu, ila anachomsisitiza straika huyo asikate tamaa kulitumikia taifa lake. “Samatta hakunishirikisha…

Read More

Uwezekano wa Upamecano kuondoka Bayern.

Umekuwa msimu mgumu kwa Dayot Upamecano (25), ambaye siku zote amekuwa akionyesha kiwango bora kabisa akiwa na Bayern Munich. Kulingana na L’Équipe, beki huyo wa zamani wa RB Leipzig anaweza kuondoka katika klabu hiyo ya Bavaria msimu huu wa joto. Msimamo wa Bayern Munich uko wazi – hawataki kuuza Upamecano. Wakati Matthijs De Ligt na…

Read More