Admin

Utata kutoweka kwa mvuvi, polisi wakana kumkamata

Dar es Salaam. Zikiwa zimepita wiki tatu tangu Lilenga Lilenga, mkazi wa Mwandiga mkoani Kigoma kudaiwa kuchukuliwa na watu wanaodaiwa ni polisi, Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Filemon Makungu amesema wameshaanza uchunguzi. Akizungumza na Mwananchi jana Jumatano Mei 29, 2024, mke wa Lilenga,  Johari Kabwe amesema wanawashuku polisi kwa kuhusika na kupotea kwa mume…

Read More

UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024

Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma leo tarehe 30 Mei 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndungulile aliyeuliza ni lini matengenezo ya…

Read More

WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA

Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana aliwasilisha bajeti ya Wizara hiyo akiomba bunge lipitishe Sh1.7 Trilioni kwa mwaka 2024/25 kiasi ambacho wabunge wanasema hakitafikia malengo kwani mvua zimeharibu miundombinu katika maeneo…

Read More

Reus anataka kuondoka Dortmund kwa kuifunga Madrid.

Marco Reus, mwanasoka wa kulipwa wa Ujerumani ambaye amekaa Borussia Dortmund kwa miaka 12, anatarajia kuondoka katika klabu hiyo kwa ushindi wa fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Real Madrid mnamo Juni 1, 2024, kwenye Uwanja wa Wembley. Reus, ambaye pia alitumia muongo mmoja katika klabu ya Dortmund akiwa mchezaji chipukizi, ameichezea klabu hiyo…

Read More