Mchakamchaka wa Matampi, Diarra kuwania tuzo huu hapa
MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2023-2024 umetamatika juzi Jumanne huku Kipa wa Coastal Union, Ley Matampi akiibuka kinara wa clean sheets akimpiga bao Djigui Diarra wa Yanga. Matampi raia wa DR Congo, huu ni msimu wake wa kwanza kucheza Ligi Kuu Bara na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kitu ambacho kwake kinampandisha thamani. Kipa huyo amemaliza…