Admin

Benki ya CRDB yahamasisha mageuzi ya uchumi Afrika katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)

Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika kando ya mkutano wa mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo…

Read More

WANAGDSS WAIOMBA SERIKALI KUSIMAMIA VIPAUMBELE VYOTE VYA BAJETI HUSIKA

WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo ( GDSS), wameiomba Serikali kusimamia na kufuatilia vipaumbele vyote vinavyoachwa katika bajeti na kuhakikisha vinafanyiwa kazi ipasavyo ili kuondoa chagamoto mbalimbali zinazokabili wananchi Ombi Hilo limetolewa Mei 29,2024 Jijini Dar es Salaam na washiriki wa semina hizo ambazo zinafanyika kila Jumatano katika ofisi za TGNP-Mtandao walipokuwa wakijadiri bajeti…

Read More

Uamuzi mgumu ulivyobadili upepo Yanga

YANGA ndio mabingwa tena. Imebeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo, ikiendeleza ubabe wake kwenye safari iliyokuwa na mabonde na milima. Yanga imelichukua taji hilo ikiwa na sura fulani tofauti na misimu miwili iliyopita, ikitoka kupitia mabadiliko mbalimbali kwa maana ya namna ya ilivyoanza msimu huu wa 2023/24 na hata muundo wa timu yao….

Read More

Simba ilivyopoteza mabilioni ya CAF

SIMBA iko chimbo ikiendelea kusuka kikosi chake kimya kimya baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2023/2024 kwa kupoteza mataji sambamba na mabilioni ya pesa ikiwemo yale ya CAF. Ulikuwa ni msimu dume kwa Wekundu wa Msimbazi hao wakimaliza katika nafasi ya tatu kwenye ligi, kuishia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, kuondoshwa hatu ya 16…

Read More

Girona kusaka saini ya Thiago Alcantara.

Upangaji wa kikosi cha Girona kwa kampeni yao ya kwanza kabisa ya Ligi ya Mabingwa tayari unaendelea, na kusajili wachezaji wenye uzoefu bila shaka kutasaidia kikosi cha Michel Sanchez kisicho na uzoefu katika shindano hilo. Tayari wana Daley Blind, na katika wiki za hivi karibuni, wamekuwa wakihusishwa na Thiago Alcantara, ambaye ataondoka Liverpool wakati mkataba…

Read More

Diego Simeone: “Memphis anatakiwa kutafuta klabu”

Atletico Madrid wanapanga kuondoka katika majira ya kiangazi, na mmoja wa wachezaji wanaotarajiwa kuondoka ni Memphis Depay, ambaye matatizo yake ya majeraha ya mara kwa mara yamemsumbua sana kocha mkuu Diego Simeone katika kipindi cha miezi 16 iliyopita, tangu alipowasili Civitas Metropolitano akitokea La. Wapinzani wa Liga Barcelona. Depay ameichezea Atleti mechi 40 katika mashindano…

Read More