PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 30,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 30,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 30,2024 Featured • Magazeti About the author
Klabu ya soka ya Burnley imetoa taarifa rasmi kufuatia kuondoka kwa Vincent Kompany kwenda Bayern Munich. Klabu ilishukuru kwa michango ya Kompany na kumtakia heri katika juhudi zake za baadaye. Kompany, beki mkongwe na nahodha wa zamani wa Manchester City, alijiunga na Burnley Agosti 2020 baada ya kuondoka Anderlecht. Kuondoka kwake kunaashiria mwisho wa kipindi…
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wazalishaji na waagizaji wa bidhaa watakaoshindwa kubandika stempu za kodi za kielektroniki watakabiliwa na faini kati ya Sh milioni 5 hadi 50 au kifungo cha miaka mitatu jela. Kabla ya kuanzishwa kwa stempu za kodi za kielektroniki Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilikuwa ikitumia stempu za karatasi hali iliyosababisha kuwapo…
Dar es Salaam. Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inaendelea na safari yake ya kuwawezesha na kuwaendeleza wauzaji wake kupitia mpango unaojulikana kama (Retailer Development Programme). Mpango huo ambao kwa kifupi unaitwa (RDP), ulizinduliwa Oktoba mwaka jana ukilenga kusaidia wauzaji kukuza biashara zao na kujifunza ujuzi mpya ikiwemo usimamizi wa fedha, hisa, masoko, mauzo na ukuzaji…
Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024. …………. Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa ameliambia Bunge kuwa zoezi la ukusanyaji madeni ya kodi za pango kwa…
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Gloria Lema. …………… Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimeendelea kuwa kivutio kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Tanga, yanayoendelea sambamba na maonesho ya Elimu, Ubunifu na Teknolojia, kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal, Bombo. Baadhi ya wananchi…
Umekuwa msimu mgumu kwa Eder Militao, ambaye alikosa kwa zaidi ya miezi saba baada ya kurarua kano yake ya mbele kwenye mechi ya Real Madrid dhidi ya Athletic Club mwezi Agosti. Tangu arejee, uchezaji wake umekuwa wa kutiliwa shaka, ingawa inatarajiwa kutokana na jeraha analotoka. Walakini, inaonekana kwamba maafisa wa Los Blancos hawana huruma nyingi,…
Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu uendeshaji wa vivuko nchini, wengine wakishauri ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza vibinafsishwe kwa sekta binafsi, huku wengine wakipinga. Hayo yameelezwa leo Mei 29, 2024 kwenye mjadala ulioendeshwa na Mwananchi Space, ukiwa na mada isemayo ‘Nini kinaweza kuwa suluhu ya changamoto inayoikabili Temesa kuhusu huduma…
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imeiomba serikali na tume ya mipango kuzingatia suala la jinsia na kuliweka kama lengo la kujitegemea katika dira ya Taifa ambapo awali yaliachwa nakupelekea jinsi moja kubaki nyuma katika masuala ya mgawanyo wa Mali na rasilimali hata katika suala la Uongozi Ombi hilo limetolewa leo Mei 29,2024 Jijini Dar es…
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, akiwamo Dk Mursali Milanzi, aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia masuala ya Mipango ya Kitaifa. Kabla ya uteuzi huo, Dk Milanzi alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mipango ya Kitaifa katika Tume ya Mipango. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa…