Admin

Mamlaka za ardhi zatajwa kuchochea migogoro Tanga

Tanga. Migogoro ya ardhi inayohusisha umiliki wa viwanja na urasimishaji wa makazi imekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Jiji la Tanga, wakilalamikia taratibu za utoaji wa hati na usimamizi wa ardhi unaofanywa na halmashauri. Malalamiko hayo yameibuliwa katika Kliniki ya Sheria ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliyoweka kambi ya siku saba mkoani Tanga,…

Read More

Hili la chakula shuleni, wazazi na wadau tuungane kwa pamoja

……. Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Chakula, mavazi na malazi ni mahitaji muhimu ya binadamu (basic needs). Ni mahitaji ambayo maisha ya binadamu hayawezi kwenda bila kuwa nayo, ndiyo maana watu wanapambana kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi kama kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, ujasiriamali kuhakikisha mahitaji haya yanapatikana katika ngazi ya familia ili kufurahia maisha. Katika…

Read More

Wanaodaiwa kuiibia benki Sh5.7 bilioni bado wanajadiliana na DPP

Dar es Salaam. Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa tisa wanaodaiwa kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ya Sh5.7 bilioni kwa udanganyifu mali ya Equity Bank Tanzania Limited, umedai bado unaendelea na majadiliano ya kumaliza kesi hiyo. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 20 yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, wizi na…

Read More