Ujenzi vivuko Tanga kuzuia vifo vya wanafunzi
UJENZI wa Vivuko vya alama za pundamilia na njia za watembea kwa miguu katika Shule za Msingi Makorora na Azimio Jijini Tanga, vimewaepusha wanafunzi kuepukana na ajali ambazo zimekuwa zikichangia vifo na majeraha mbalimbali kwao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga …(endelea). Ujenzi huo umewezeshwa na Shirika la Amend Tanzania kupitia mradi wake Miundombinu Salama ya Barabara…