Simba yakwama kwa kocha Mhispaniola
UONGOZI wa Simba umeshindwa kumshawishi kocha wa makipa wa timu, Mhispania Daniel Cadena kuendelea kubaki baada ya kuandika barua ya kutimka Msimbazi. Cadena ambaye alitaja sababu za kuondoka ndani ya timu hiyo kuwa ni kuhitaji kuwa karibu na familia yake amemalizana na timu hiyo na leo anakamilisha majukumu yake kwenye mchezo wa mwisho wa ligi…