Admin

TANZANIA YASHIKA UKURUGENZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA.

Na. Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi. Tanzania inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa Afrika Mashariki katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuanzia mwezi Agosti, 2024. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba ameyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa Fedha,…

Read More

Metacha atajwa kutua Ihefu | Mwanaspoti

BAADA ya uwepo wa taarifa za Yanga kutaka kuachana na kipa Metacha Mnata, timu ya Ihefu inahusishwa kuzungumza naye na huenda msimu ujao akawa sehemu ya kikosi chao. Metacha aliwahi kuichezea Singida Big Stars kabla ya kubadilishwa na kuwa Singida Fountain Gate akitokea Yanga, kabla ya kurejea tena Jangwani. Mmoja wa viongozi wa Ihefu, ameiambia…

Read More

Makonda: Nitawapiga spana wazembe mpaka wanyooke

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema hatishiki na kauli zinazotolewa na baadhi watu wanaomkosoa na kuwa atawapiga ‘spana’ (atawasema) wazembe hadi wanyooke. Amesema kauli hizo za wakosoaji zinamsaidia kufanya kazi kwa morali kubwa zaidi. Makonda ametoa kauli hiyo zikiwa zimepita siku nne tangu alipodaiwa kumdhalilisha mhandishi wa kike katika halmashuri ya Longido…

Read More

BASHUNGWA AKAGUA MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI – BUNGENI

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kuanzia leo Mei 27, 2024 hadi Mei, 28 mwaka huu. Maonesho hayo yataambatana na…

Read More

HISIA ZANGU: Ishu ya Aziz Ki, Yanga ina rangi nyingi kama batiki

NIKAMSIKIA mahala rafiki yetu Aziz Ki akisema hajawahi kuona akipendwa mahali popote kama anavyopendwa Tanzania. Nikamsikia akisema ana ofa nzuri kutoka kwingineko, lakini anawapa Yanga kipaumbele. Nikamsikia Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said akisema hakuna mchezaji muhimu ambaye ataondoka Yanga. Lakini kabla ya hapo nikasikia mahala ndugu yetu Ally Kamwe akidai kwamba Yanga wapo katika…

Read More