WANAUME WAJITOKEZA KWA WINGI KUPATA MSAADA WA KISHERIA
Na WMJJWM, Njombe Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Dotto Biteko amesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wanaume katika kutafuta msaada wa kisheria kuliko wanawake. Ameyasema hayo wakati akizindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign), mkoani Njombe Mei 26, 2024. Mhe. Biteko amesema tangu kuanza…