Admin

Mamia ya waumini wajitokeza kuwekwa wakfu Askofu Mwasekaga

Mbeya. Mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki kutoka maeneo mbalimbali nchini wamejitokeza katika ibada maalumu ya kuwekwa wakfu, Askofu msaidizi mteule, Godfrey Mwasekaga. Tukio hilo linafanyika leo JumapiliMei 26, 2024 katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa  mgeni rasmi katika ibada hiyo ya kumsimika kiongozi huyo wa kiroho. Mwasekaga aliteuliwa…

Read More

KMC sasa yakubali yaishe Bara

KIPIGO cha bao 1-0 ilichopewa na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa jana jijini hapa kutokana na bao la mapema la Saido Ntibazonkiza, limelifanya benchi la ufundi la KMC kukiri mambo yamewatibukia na sasa wanapambana kumaliza nafasi ya tano katika msimamo wa ligi hiyo. KMC ilikuwa ikiwania nafasi ya nne ili ikate tiketi…

Read More

KASEKENYA AIPA TANROADS WIKI MOJA MALINYI KUFIKIKA

  Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro kuhakikisha anarudisha Mawasiliano ya barabara kati ya wilaya ya Ifakara na Malinyi katika kijiji cha Misegese, mkoani humo ili kuruhusu magari kupita mara baada ya daraja la Mto Fulua kuharibika kutokana na mafuriko. Kasekenya…

Read More

MRAMBA AONYA WANAOTEMBEA NA MAJINA YA WAGOMBEA MIFUKONI

Na Khadija Kalili Michuzi Tv KATIBU wa Siasa,Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),David Mramba ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wake kwa watu walioanza kampeni kabla ya wakati wa uchaguzi huku baadhi ya wanachama wake wakitembea na majina ya wagombea mifukoni mwao kua watachukuliwa hatua kali za kwenda kinyume na maadili. “Nasema…

Read More

Kipa Mnigeria ampa tuzo Aziz Ki

KIPA wa Tabora United, John Noble ameshindwa kujizuia na kuweka bayana kwa mtazamo wake Kiungo Bora kwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ni Stephane Aziz KI na kutoa sababu za kumpa tuzo nyota huyo wa Yanga anayeongoza kwa mabao akilingana na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC. Kipa huyo aliyetunguliwa mara mbili msimu…

Read More