Admin

WANANCHI TUNZENI MIUNDOMBINU YA BARABARA – MHE. LONDO

NA OR-TAMISEMI , SINGIDA KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa rai kwa wananchi wa kata ya Minyughe na Makilawa kuhakikisha wanatunza miundombinu ya daraja la MInyughe lililojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.8 Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati Mhe.Denis Londo leo Mei 25,2024 wakati…

Read More

Profesa Mkumbo azitaka kampuni kuweka mkazo maeneo ya vijijini

Dar es Salaam. Waziri wa Mipango na Uwekezaji nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amezitaka kampuni zinazotaka kuwekeza nchini kutilia mkazo maeneo ya vijijini, akibainisha idadi kubwa ya Watanzania wanaishi katika maeneo hayo. Profesa Mkumbo amesema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Craft Silicon nchini Tanzania, inayotoa huduma za miamala ya fedha…

Read More

Marekani na Tanzania Zaungana Kupambana na Usugu Wa Vimelea Vya Magonjwa

Serikaliya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na Tanzania leozimeungana kuzindua kampeni ya “Holela– HolelaItakukosti” ambayo inaratibiwa na Offisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Kampeni hii inazingatia udhibiti kuhusu usugu wavimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA) namagonjwa ya kipaumbele…

Read More

VIDEO: Lishe duni kwa vijana inavyoathiri afya ya uzazi

Dar es Salaam. Lishe duni ya vijana rika la balehe inatajwa kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya uzazi miongoni mwa wanawake na wanaume. Upungufu wa virutubisho muhimu kwa watoto na vijana unaelezwa kuathiri via vya uzazi. Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Lishe, Wizara ya Afya, Neema Joshua anasema udumavu, uzito pungufu, ukondefu, uzito kupita…

Read More

Waliomuua mkulima mbele ya mwanaye wahukumiwa kunyongwa

Sumbawanga/Mbeya. Ndugu wawili wa familia moja kutoka ukoo wa Kapufi, Jofrey Dominiko na Elasto Dominiko, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Charles Mwanazumi katika mgogoro wa kugombea shamba. Mauaji hayo yalifanyika Desemba 10, 2020 katika Kijiji cha Sandula Wilaya ya Sumbawanga huku mwanaye Annek Mwanazumi akishuhudia, wakati alipokuwa shambani na baba yake eneo…

Read More