Admin

Ukosefu wa taarifa watajwa chanzo cha mikopo umiza

Geita. Kukosekana kwa taarifa sahihi za namna gani ya kupata teknolojia za kuzalisha bidhaa zenye ubora, yalipo masoko na namna ya kupata mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha ni miongoni mwa changamoto zinazowakwamisha wajasiriamali wadogo kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogovidogo ( Sido) mkoa wa Geita, Nina Nchimbi wakati…

Read More

Ujenzi wa barabara watajwa kuwakosesha wananchi maji

Unguja. Wakazi wa Mtumwajeni, Mkoa wa Mjini Magharibi wamesema katika shehia hiyo hawapati huduma ya maji kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa, bila kuelezwa tatizo na mamlaka inayohusika. Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti Mei 24, 2024 wamesema siyo tu kukosa huduma, bali maji yanapotoka huwa na uchafu jambo linalohatarisha afya zao. Hata hivyo,…

Read More

MAMIA YA WASHIRIKI KATIKA MBIO ZA RUN FOR BINTI

Mei 25, 2024, Dar es Salaam: Washiriki zaidi ya 700 walishiriki katika mbio za Run for Binti zilizofanyika katika Viwanja vya Oysterbay, ikiwa ni msimu wa tatu wa mafanikio wa mbio hizi zinazoratibiwa na kuandaliwa na Smile for Community (S4C) kwa kushirikiana na Legal Services Facility (LSF). Lengo kuu la mbio hizi ni kuwawezesha watoto…

Read More

Luvanga arejeshwa Twiga Stars | Mwanaspoti

BAADA ya kukaushiwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji nyota wa timu ya soka ya wanawake ya  Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars kinachotarajia kushiriki mashindano maalumu. Clara aliyetwaa taji la Ligi Kuu ya Saudia akiwa na Al Nassr…

Read More

Kikwete: Chaguzi chanzo migogoro Afrika

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema miongozi mwa sababu za kuwepo kwa migogoro kwa nchi za Afrika ni kutozingatiwa kwa miongozo ya uwepo wa uchaguzi ulio huru na wa haki. Kikwete ameyasema hayo leo Mei 25, 2024 jijini Dar es Salaam katika mjadala uliokuwa sehemu ya mkutano wa maadhimisho…

Read More

Pati la Kibingwa laleta neema kwa wafanyabiashara

SHAMRASHAMRA za Pati la Likipigwa zikiendelea kwa sasa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkaja, jijini Dar es Salaam, nje kidogo ya  uwanja huo utakaotumika kwa mechia ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Tabiora United, biashara zimeanza kuchangamka maeneo tofauti na kuwa neema kwa wafanyabiashara. Yanga inatarajiwa kukabidhiwa taji la 30 la Ligi Kuu Bara…

Read More

Kigoma waomba kambi ya madaktari bingwa

Kasulu. Wakazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wameiomba Serikali na taasisi binafsi kuwa na utaratibu kwa kuwawekea kambi ya madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali angalau mara moja kwa mwezi. Hilo litawawezesha kupata huduma za kitatibu na kupunguza gharama za kusafiri kuzifuata. Wananchi hao walitoa rai hiyo leo Mei 25,2024 katika Hospitali ya wilaya ya…

Read More