DC ahimiza matumizi ya pedi yazingatie uhifadhi wa mazingira
Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa amewataka wadau wa hedhi salama, kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya taulo za kike (pedi) kwa kuzingatia usafi, uhifadhi na utunzaji wa mazingira. Amesema kuwa baadhi ya taulo za kike hasa zinazotumika kutupa zimekuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira. Mtahengerwa ameyasema hayo leo Mei 25, 2024 katika…