‘Aliyemtonya’ Lissu kuhusu rushwa arejea madarakani
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Iringa, William Mungai ametetea nafasi yake baada ya kuzoa kura 45 dhidi ya kura 34 ambazo mpinzani wake, Emmanuel Chengule amepata. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mungai ameshinda uchaguzi huo uliofanyika jana Ijumaa mjini Iringa katika Kikao cha Baraza la Mashauriano Mkoa wa Iringa kilichoketi na kuwachagua viongozi…