Mugalu afichua kinachoitesa Simba | Mwanaspoti
KIKOSI cha Simba kipo jijini Arusha na kesho jioni kitashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili KMC katika pambano la Ligi Kuu Bara, huku straika wa zamani wa Wekundu hao, Chris Mugalu akivunja ukimya na kufichua kitu kinachowatafuna kwa mitatu mfululizo sasa. Mugalu aliyeichezea Simba kwa misimu miwili kuanzia 2020-2022 na kutwaa matatu matatu tofauti…