UN yaanzisha siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Srebrenica – DW – 24.05.2024
Matokeo ya kura kuhusu siku y kimataifa ya SrebrenicaPicha: Eduardo Munoz/REUTERS Hatua hii imepingwa vikali na Waserbia wanaohofia kuwa itawafanya wote kuwa waungaji mkono wa mauaji ya halaiki. Kura hiyo katika Baraza Kuu ya Umoja wa Mataifa lenye jumla ya wanachama 193, imepita kwa kuungwa mkono na mataifa 84 dhidi ya 19 yaliopinga, huku mengine…