Admin

PROF. JANABI: MNH-MLOGANZILA KUTENGA ENEO MAALUM KWA AJILI YA KUSHUKIA HELIKOPTA

  Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amekutana na kufanya mazungumzo na wataalam kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kwa lengo la kujadiliana na kuangalia eneo maalum litakalofaa kwa ajili ya kushuka helikopta zitakazo leta wagonjwa watakaokuja kutibiwa hospitalini hapo. Kwa mujibu wa Prof. Janabi Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila…

Read More

Angalizo latolewa matumizi ya dijitali kutatua changamoto za jamii

Dar es Salaam. Wanawake hususani vijana wametakiwa kutumia fursa za ukuaji wa teknolojia na matumizi ya kidijitali kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Hilo likifanyika, imeelezwa ushiriki wa wanawake utaongezeka katika masuala ya teknolojia, hivyo kukuza usawa wa kijinsia. Hayo yameelezwa leo Mei 23, 2024 wakati wa mdahalo kuhusu ujuzi wa kidijitali kwa maendeleo ya rasilimali watu…

Read More