Yanga ikimuacha tu, anatua msimbazi
DURU za ndani kabisa, zinasema Simba imenasa antena zake Jangwani ambako lolote linaweza kutokea kati yao na Kennedy Musonda wa Yanga. Habari zinasema kwamba Yanga huenda ikaachana na Musonda muda wowote baada ya kumalizana na gwaride la ubingwa ili nafasi yake wanunue chuma kingine wanachodai kina takwimu za kuvutia. Kumbuka Musonda ambaye ni raia wa…